Panty kalinitoa na meno ! Mwanamke asimulia jinsi mzee wa miaka 70 alivyomtenda wakila uroda lodging

Kuna msemo ambao umetamba sana siku  hizi wakati mtu anaposikia au kushuhudia kitu cha kushangaza. Msemo huo ‘ Kenya sihami’ na kwa kweli iwapo hukuyasikia mazito basi tulia na upate muda wa kuyasoma haya ambayo mwanamke mmoja amewasimulia wenzake kuhusu   aliopitia mikononi mwa sponsor.

Kumekuwa na tabia ya muda mrefu sasa ya wasichana kuwatafuta wapenzi wanaowazidi umri almaarufu sponsor kwa lengo la kupewa pesa. Uhusiano huu  sio  mapenzi halisi bali ni wa nipe nikupe na mara nyingi huishia machozi na majuto.

Basi mwanamke huyu kupitia kundi moja la kisiri la akina dada wanapofungua roho kuhusu kila jambo amesimulia aliyoyapitia wakati alipofanya mapenzi na mzee wa miaka 70. Yapate yote hapa kupitia masimulizi yake .