PATANISHO: Babangu Alidai Atanikatakata Baada Ya Kutoweka Nyumbani

pata
pata

Dalphine alituma ujumbe akiomba apatanishwe na babake na familia yake kwa jumla akidai kuwa alitoweka nyumbani miaka sita iliyopita.

"Nilitoka Meru nikiwa na miaka 15 nikaja Nairobi. Nilipatana na mtu kwa gari akanitafutia kazi ya nyumbani, sasa nina mtoto na aliyenipachika mimba alitoweka." Alijieleza akidai kuwa amejaribu kuzungumza na babake lakini amekuwa akimtusi.

Alidai kuwa atanikatakata akidai kuwa niliharibu maisha yangu na kuwa sikumaliza shule. Nilitoweka nyumbani kwa sababu maisha yalikuwa magumu kwani mama yetu pekee ndiye alikuwa anatushughulikia. Sasa wawili hao wameachana na akaoa mke mwingine." Aliongeza.

Walitoka na mamake na yeye pekee ndiye anayefaa kumuonesha baba atakaye msamehe. Alitoka shuleni baada ya kumlipia karo na kumnunulia kila kitu, sasa staki stress wacha nisomeshe wadogo wake." Alisema babake Dalphine huku akiwa na wingi wa hasira.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be