Patanisho: Bibi alinitumia message kunijulisha yeye sio mke wangu

iandghost
iandghost
Humphrey, miaka 34 na mke wake wamekosana juu ya pesa za insurance.

Humphrey ni ofisa wa polisi na alisema wamekuwa na up and down kwa mda mrefu anasema kuna insurance alikuwa alikuwa amechukuwa pale, alitumia kwa mazishi ya cuc na auntie yake lakini baadaye mke wake Gladys akadai eti ametumia vibaya. na hiyo ilileta shida kwa ndoa hivi majuzi. Kwahivyo angependa licha ya hayo yote kurejesha uhusiano kati yao.

Ndoa ya imekuwa na ups and downs  na kwa maneno ya Humphrey 'By December nilikuwa na life insurace nikapewa pesa za bonus. Hizo pesa nilizilipa baada ya kukopa pesa za matanga mbili za cuc na auntie yangu. Juzi alilipuka akiuliza pesa ziko wapi. Yani she is always suspecting me. Nikamwambia aende nyumbani aone vile nimetumia pesa.'

Hiyo matanga hata hakuhudhuria au kunichangia, so mimi nikaonekane pale nyumbani kama niko skeleton, my parents walikuwa upset. Aliniacha hivyo.

Wawili hao wamekaa kwa ndoa miaka tano, na wana mtoto mmoja. Hawaishi pamoja kwasababu ya kazi.

'Nilikuwa nafanya kazi Kitui kwao, lso last year akini nikapatiwa transfer Nairobi. Hapo ndio nikaona ndoa nikama haiko.

Swali je ni ndoa iko ama imesambaratika?

sasa Gidi unajua juzi wakati hiyo mambo ilitokea yeye akanitumia message akaniambia usinipigie simu wewe enda uongee na watu ulipea simu, I'm not your wife kaa ukijua I'm not yet married so mimi nikashtuka nikasema heh all this time I've been saying I have a wife whom sijaoa?'

Kwani Humphrey hajawahi enda kuona wazazi wa mke wake kama iliyo desturi?

Tumeenda kwao. My father has visited their home Mahari sijatoa because kulinganan nakimila ya waluhyia sister yake mkubwa hajatolewa mahari, so mimi siwezi peleka mahari before sister yake mkubwa atolewe.'

Je waliskizana? Skiza kanda