gidi.na.ghost.patanisho

PATANISHO: Bibi yangu aliniambia nitajua sijui nikampiga

James Ombati, 32, alituma ujumbe akitaka kuomba msamaha kwa mkewe, bi Nyamuita, 28, ambaye aliondoka na kuacha watoto nyumbani.

“Mke amemaliza karibu wiki tatu tangia aondoke kwani siku moja nilitoka kazini na kufika kwa nyumbani sikumpata.

PATANISHO: Atafute bibi mwingine kwani siwezi rudiana naye!

Tulipigana naye baada yake kufika nyumbani akiwa amechelewa na kumuuliza akanijibu nitajua sijui, baada ya majibizano akanirushia makonde na hapo ndipo nilimpiga ili tusizoeane.” Alieleza bwana James.

James anadai hana habar aliko mkewe kwani kila anapomuuliza aliko yeye husema mwenyewe ndiye anajua aliko.

Wawili hao wana watoto wawili.

Kulingana na mkewe, walipokosana alimuambia apeleke watoto kwa mamake mzazi na isitoshe kama anataka kuomba msamaha, ajipange na asafiri hadi kwa wakwe zake wazungumze.

Patanisho: Bwanangu alisave picha ya mpango wa kando kama screensaver

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments