PATANISHO: Bwanangu Alikuwa Tu Anasisitiza Tukutane Kwa Lodging

Shiru alituma ujumbe akiomba apatanishwe na bwanake Morris.

"Tulikosana na yeye Machi mwisho." Alieleza Shiru.

Tulikuwa tunaishi pamoja naye Meru kabla yake kupata kazi na kuhamia Embu. Kila nilipokuwa nasafiri kwenda kumtembelea hakuwahi nionesha kwake kwani tulikuwa tunapatana lodging kila wakati

Tulikuwa tunapatana lodging kila wakati tukipatana na sikuwahi jua kwake. Sasa nilikuwa nashuku labda ana bibi mwingine au anaishi na dereva mwenzake.

Wawili hao wameishi kwa ndoa ya miaka kumi na moja na wamejaliwa watoto wawili.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be