PATANISHO: 'Bwanangu aliniomba pesa apatie mpango wa kando aende salon'

16683834_648939121960707_2610160310327307959_n
16683834_648939121960707_2610160310327307959_n
Kunyoroshana katika ndoa ndio sababu wapendwa wawili hukosana, na hivi ndivyo ilivyokuwa wakti Vichi alipiga simu studio, kupatanishwa na bwanake Victor amabaye alitoroka nyumbani mwao mwaka jana.

Vichi aliarifu Gidi kwamba bwanake ni mtu wa 'temptation'.

'mume wangu tumekuwa na yeye miaka saba kwa ndoa. Sasa 2015 ndio alianza kubadilika mpaka kuna wakati hakuwa na kazi, na tukaendelea, lakini alipotpata kazi akaanza kuchange hata simu aliweka passoword nisione.'

Nilimsumbua nikimwambia natak kuona ni nini anaficha kwa simu. Basi akanipatia siku moja bila password. Nikaoona message ya mapenzi na msichana mwingine, nikawa interested nikapigia huyo msichana simu, akaniambia uhusiano yao ni ya mchezo.'

Bwanangu aliaomba msamaha, lakini akaendelea na kuwa na siri. Akawa amezidi, mpaka siku moja nikapata condoms kwa nguo zake nikiosha.''

Gidi, wacha nikuambia hata baada ya mambo haya yote, bado nataka kupatanishwe na bwanangu. Tafadhali nisaidie'.

'siku nyingine akaniomba pesa akisema ana shida kidogo.nikamwambia sina pesa na baadaye nikakuja kugundua aliomba pesa kwa jirani kutumia mpango wake pesa za nywele.

Saa zingine tunaongea kupitia simu. Huwa ananiambia hata rudi nyuma, lakini mimi naomba turidiane.

Ameweka picha ya mwanamke mwingine kwa picha ya whatsapp, na nahofia amepata bibi mwingine. Naomba Gidi unipatanishe.

Wanajambo walimshauri huyu mwanadada awachane na bwanake, atafute mtu ambaye atampenda.

Skiza kanda ifuatayo;