ghostnagidi

PATANISHO: Bwanangu alioa mfanyi kazi wetu na hajawahi niongelesha miaka saba

Katika kitengo cha Patanisho, mtangazaji wetu alisoma ujumbe uliotumwa studio.

Gidi alisoma kisha akampigia simu.

Jambo Gidi an Ghost mimi naitwa Raeli, aomba mnipatanishe na mme wangu Msomba. Tuliachana miaka sita iliyopita, na hata sijui chanzo ni nini.

Nini ilitokea?

Nilikaa na yeye miaka kumi na nne nai miakia hiyo sikuona akiwa na shida. Sasa wakati moja nikaenda nyumbani kutembelea mamangu. Mamangu mzazi hakuwa na nyumba na ni yeye alinituma akaniambia niende niangalie mambo ya ma nyumbani. 

Aliendelea, ‘nadhani nilipotoka nyumbani nikarudi huko nikapata nikama amebadilika vile anabehave, haongeleshi mtu anatoka anenda kazi akirudi jioni hakuna kuongelesha mtu na hakuna kukula. Siku moja yenye nilijua kabisa kama amebadilika tulikuwa na mshichana wa kazi akawa amepika chakula ameweka kwa meza Sasa wakati tulikaa mimi nilukuwa na huyo msichana na yeye alikuwa bado hajafika. Tukakula chakula kila mtu alikuwa akijipakulia chakula tukakula na ingone tukaweka. Yeye alipokuja sasa mimi ndio niliamka niakenda kumpakulia akule.

Alipofungua chakula akaniuliza, kwani hii chakula iko na nini? Mbona hii chakula iko na vitu ndani?

Nikamuuliza vitu kama gani? Akasema chakula imekaa kama imewekwa vitu Nikamwabia kama imewekwa vitu pakua tukule na wewe Akaniambia hapana mimi hiyo chakula, na akaenda kulala.

Sasa tukakaa tukisumbuana tuu muda mrefu nikimuuliza ni nini shida si uniambie shida ni nini kama ni mimi nimekukosea. Haniambii ananyamaza tuu. Mimi nikaona kama imezidi nikapigia mamake simu nyumbani, nikamwita akuje aongelesha mtot wake kuna mahali naona hatuendi vizuri. Mamake hakukuja. Mimi nikajitoa Mombasa nikaenda nyumbani, kufuata mamake.

Haikufaulu nikaita pastoralafu siku moja nikiwa kanisani, amepanga vitu zake ameenda.

Je, tangu aende amewahi rudi tena?

Hapana hajawahi rudi tena, alirudisha swali Raeli.

Pia Raeli alisimulia kwamba bwanake aliweza kuoa huyo mfanyi kazi wao na kupata mtot mmoja.

Je Raeli anataka kuridian na mume wake, anataka arudi awe kama mke wa kwanza na huyu maid awe mke wa pili?

‘Nataka kurid kwangu nikojenga, alijibu kwa ufupi.

Bwana Musomba aliweza kuchukua simu ya Gidi, na kusema kilochofanya atoroke Bi Raelia anajua, na apatiwe mda afikirie.

‘kuna issues, mpaka watu wakae waongee’

Skiza kanda

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Photo Credits: instagram/radiojambokenya

Read More:

Comments

comments