PATANISHO: Bwanangu Alitaka Nizae Kila Mwaka Akiona Majirani Wana Mimba

Diana aliwashtua waskilizaji wengi hapo jana alipotuma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe bwana Ben baada ya "Kukosana vibaya sana".

"Shida yake ananisumbua kila mwaka ati nizae, tayari nina watoto wawili lakini akiona majirani wanapeana mimba ananiharakisha nishike mimba pia nikama anashindana nao.

Kumbe nilipofunga mimba nikaharibu mambo akatoweka huku akiambia landlord anifungie nyumba. Alitoweka kwani hakutaka gharama ya hospitali na wanadada zangu walimpeleka mbio hadi akalipia gharama. Aliniambia nizae mpaka ile siku ataniambia watoto wametosha"

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be