PATANISHO: Bwanangu huniona kama mbwa kwa nyumba

Mwanamke alitugonganisha kisha akaomba nafasi kuwa mke wangu.

Bwana Joshua aliomba apatanishwe na mkewe Lilian ambaye alitoka nyumbani wiki tatu zilizopita bila wawili hao kukosana.

Sikumkosea lakini ni umbea tu wa watu wakidai kuwa nina mipango ya kando, hii yote ililetwa na mwanadada tuliyekuwa tunafanya kazi naye na alikuwa anamueleza mke wangu kuwa nina mipango ya kando na isitoshe hunieleza kuwa mke wangu ana jamaa mwingine kila ninapoondoka. Alieleza Josh.

Baadae mke wangu kwenda naye ananiomba nafasi tuishi naye, hapo nikajua alikuwa anatugonganisha ili apate nafasi." Alieleza Joshua ambaye wawili wamejaliwa watoto watatu katika ndoa ya mika kumi na minne.

Bi Lilian alishikilia kuwa Joshua alirejesha uhusiano na mpenzi wake wa zamani na kuwa hatorudiana naye kamwe.

Hebu muumwambie achune hayo maskio yake kabisa!." Alieleza Lilian.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be