Patanisho: Bwanangu ni afisa wa polisi, alinishikia bunduki kwa shingo akinitishia ataniua

gid na ghost on 27th august 2018
gid na ghost on 27th august 2018
Mke wa Mavin alitoroka nyumba mwaka janabaada ya kukosana na amekataa kumsikza watananishwe.

Lengo la Pataisho ni kuleta waliokosana pampja waskiane welewane and warudiane.

Mavin, ofisa wa polisi, alisema Rose alitorka last week, na walikosana joioni juu ya pete.

Mavin alitoka kazi na alipoenda kushika wezi wa pikipiki aliitoa na kuweka kwa mfukoni. 'Mahali tulienda kushika huyo mtu tulikuwa tumeenda kuconduct arrest tulikuwa mimi na wanawake askari wawili. So kwa ile fracas unajua unaeza enda kuarrest mtu violent, alikuwa amenyanganya mtu piki piki tukanganganan na yeye kwa the process alikataa kuwekwa pingu, so nikijaribu kuweka pingu jamaa akanifinyilia kwa mkono. ikabidi wale tulikuwa nao niliwambia wavute pete inaweza uma. nikatoa nikaweka kwa mfuko Wakati nilirudi kwa nyumba nilipata mke wangu tayari amechange mood, juu alikuwa ameona mkono, So nikaiweka, akaniuliza mbona ulikuwa umetoa? nikamwambia ni ile harakati ya kuarrest. 

Je bib yake aliridhika na maelezo haya?

'Aliendelea na ukali sasa hiyo mane ikaendela hivyo. Sasa uanjau Gidi ile majibizano nikapandwa na hasira nikampiga kofi moja.

Sasa ndio alikasirika zaidi akalia akapigia wazazi wake tukaongea. Asubuhi nilipoenda kazini kurudi jioni sikumpata.

Licha ya kusameheana mke wangu bado alitoroka nyumbani

Mavin, 25 na Rosa, 23 wamekaa kwa ndoa miezi kadhaa na saa hii mke wake ako mjaa mzito.

Ilibainika kwamba sio mara ya kwanza huyu Mavin ametoa pete yake. Akieleza kilichotendeka Rosa alisema

si mara ya kwanza ametoa pete. kitu ilifanya nitoke ni maneno ya vitisho, kila wakati akigombana ananiambia atanichaoa aniuue. '