PATANISHO: Eva Apatanishwa na James Baada Ya Kuwafukuza Ndugu Zake

Gidi na Ghost walifanikiwa kuwapatanisha wapendwa wawili, Eva na James, amabao walikosana kisa na maana; Eva aliwafukuza ndugu zake kutoka kwa nyumba yao ya ndoa ambayo ilikuwa chumba kimoja.

Kulingana na James, hakuwa na mpango wowote wa kunyemelea dadake mdogo licha ya Eva kumshuku.

Pata uhondo kamili kwenye kanda hii.