Patanisho: Hii ni siku yangu ya mwisho kwa ndoa ikiwa hutanipatanisha

gidinaghost
gidinaghost
Baada ya Patanisho ya saa mbili unusu kungoa nanga, ilibidi Gidi atafute msikilizaji mwingine ambaye anaomba Patanisho.

Mshabiki mwenye kutuma SMS akiomba patanisho ni Justus.

Alimwelezea Gidi kwa kinaga ubaga kilicho tendeka kwa ndoa yake, na kusababisha uvutaji nyumbani

'Gidi nakuambia karibu siku mbili huku nyuma tulikosana na mke wangu na sasa mimi nafanyanga kazi ya mcheza, alafu sasa niliota kazini niakenda nyumba, na hakunijibu vizuri. Kutoka hiyo siku hatupatani vizuri, na kuna mtu alimwambia kwamba kuna washichan wengi natembea nao huko inje.

Hatuongeleshani, hanipeleki poa, na jioni leo asipoongea na mimi nitajinyonga.

Sasa gii unaona wewe ukiishi na mtu nyumbani na hakuongeleshi, utafikiria nini?

Mimi namependa huyo mke bwana.

Ruth mkewe wake hakushika simu na Justus akasema ni kama ako inje na amesahau kuichukuwa.

Gidi hakufaulu kumshika bibi ya Justus kupitia simu, na ikabidi waiwachie hio keshi hivo.

Kama mke wako hajakuongelesha kwa siku mbili, je utajiua?

Wanajambo walipatiwa nafashi kumshauriJustus, huku wakisema Bwana Justus aweze kuongeleshe mke wake pole pole.