rsz_gidi

PATANISHO: Jonathan aligundua mke wake Frida alipata mpenzi kupitia Facebook

Katika kipindi cha Patanisho October 18th, 2016 mambo yalikuwa mazito kupata suluhisho baina ya Bi Frida na Bwana Jonathan.

Huyu mwanadada alikosana ma mumewe baada ya kugundua Bibiye Frida alikuwa ana uhusiano na mipango ya kando.

Alisema mke wake alianza kimapenzi na wanaume hawa kwa kupitia mtandao wa Facebook. Bwana Jonathan alielezea Gidi na Ghost kwamba aligundua Bi Frida alianza uhusiano na mwanamume huyo baada ya kupata nambari ya simu yake kwa WhatsApp. Jonathan alisema kwamba hapo ndipo shida ilianza.

Gidi alimpigia Jonathan simu wazungumze, aweze kutueleza kilichoendelea.

‘Yeye mwenyewe alijua alichofanya’, alisema bwana Jonathan. Aliendelea kusema, ‘I’m sure anajua exactly what happened‘.

‘Gidi, ukweli wa mambo ni the whole thing is just so bad, I have warned her several times. Sio mwanaume wa kwanza au wa pili’.

Skiza kanda huu ujue kwanini Bwana Jonathan anashida kuamini bibiye baado ya uhusiano na hao wanaume na kwa nini Frida alikosa kukiri makosa yake;

 

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments