patanisho

#PATANISHO: Joseph Atoweka Na Mwanao Na Kumwacha Nancy Na Upweke

Kama ilivyo ada ya patanisho ni vituko na majoni mda kwa mda lakini katika kipindi cha jana, kazi ilikuwa rahisi kuliko kulamba punje za sukari baada ya Nancy kupatanishwa na mumewe bwana Joseph bila watangazaji Gidi na Ghost kutokwa na jasho.

Bwana Joseph alikosana na bi Nancy miaka miwili iliyopita na akaamua kurudi nyumbani na kumchukua mwanao kutoka shuleni bila ya kumuarifu mkewe na basi kumkosesha mkewe usingizi.

Lakini waliwashangaza waskilizaji baada ya kutatua masaibu yao kwa mda mchache na kuamua kurudiana.

Pata uhondo katika kanda ifuatayo.

 

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments