PATANISHO: Mama Mkwe Ndiye Ananiharibia Ndoa Yangu

pata
pata
Bwana Maina alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mama mkwe ambaye amekatalia familia yake tangia mwezi wa Agosti.

"Mimi nilimpea mke wangu nauli ili akapige kura lakini hakurudi baada ya uchaguzi na nikimuuliza akanipa vijisababu havieleweki.

Mama mkwe mwezi wa nne tulikosana na akachukua watoto na kwenda kwao, na tulipoelekea kule mama mkwe akatufukuza akidai nirudi na wazee tuzungumze. Nilipotuma wazee mama mkwe akasema kuwa hataki wageni." Alijieleza Maina.

Alipopigiwa simu mama mkwe alikiri kuwa Maina ni mkora na kuwa amekuwa akimdanganya msichana wake kwa mda mrefu na isitoshe kumpiga.

"Hapo ndipo msichana wangu alirudi nyumbani kwani alikuwa anapitia mateso sana hadi watoto hawashughulikii, sasa heri atafute mwingine." Alijieleza mama mkwe.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be