Patanisho: Mamangu hulewa kisha anatusi mke na watoto wangu

Wengi huwa wanapitia masaibu kama haya, unapata kwamba umeoa mke na mumeishi vizuri lakini tatizo ni wazazi.

Hawamtaki mke na wanamfanyai vibaya hadi anatoroka nyumbani. Unafaa kuchukua hatua gani?

Serem angependa kupatanishwa na mke Truphena ambaye alitoroka baada ya ugomvi kati yake na mama mzazi Serem.

Mke wake haelewani na mamake mzazi na ni kama mamangu hamtaki kwasababu ya ugomvi kati ya mke wangu and mamangu mzazi.

Serem asema wamekaa miaka kumi na mbili

'My mum haelewani na yeye. mara anatusi yeye, mara anagombanisha yeye. Sasa inakaa my mum hataki huyu mke wangu. Mum anatukana mpaka watoto, mara mumbwa'

Serem amejaribu kuongelesha mama yake awache hii tabia?

'Nimejaribu lakini yeye  lakini tulipojaribu meeting kati ya my mum nand bib alikataa. Wakati wa kwanza nilete huyu msichana tukaka na yeye nyumbani tukazaa mtoto alafu nikatengenza nyumba lakini bib alipiti changamoto kwa mama. baadaye nikampeleka shamba yangu,'

Licha ya hayo yote bado Serem anataka mke wake arudi huko kwa mama mzazi?

'Unajua saa zingine mum ankunyuaga pombe na huenda akishonja anapelekea mke wangu chuki

Serem wa miaka 38, na mke ana miaka 34, na wamefanikiwa na watoto watatu.

Je mpendwa msikilizaji, ungeweza kumshauri nini Serem kuhusu mamake mzazi na bib yake Truphena?

Skiza kanda ifuatayo