pata.pata

PATANISHO: Mke wangu alikuwa anakatiwa na caretaker

Mureithi aliomba apatanishwe na mkewe Dorcas akidai kuwa ana mawazo ya kujitoa uhai.

PATANISHO: Bibi yangu aliniacha baada ya mwanamke mwingine kupokea simu yangu (audio)

“Bwana Gidi haya maisha yameniskuma kwa corner kwa sababu mke wangu aliondoka na namheshimu kama mke wangu na mama wa watoto wangu watatu. Nina mtoto mmoja naye mmoja na kisha tukazaa mmoja pamoja.

Hii shida ilianza mwaka uliopita alipoanza madharau hadai kuzungumza nami hanioni kama mtu, nikimguza usiku hadai maneno yangu.

Sasa nikaja kugundua kuna jamaa anamnyemelea. Mmoja wao ni caretaker kwani hadi siku hizi bill za stima hachukui. Jamaa mwingine ni kijana alikuwa anaishi naye kitambo. Nilinunua laini mpya ya simu na kujifanya yule jamaa, aliingia box kabisa na zile vitu alikuwa ananieleza akidhani mimi ni yule jamaa hata mimi sijawahi ambiwa.” Alieleza Mureithi akidai baada ya kumpa mama mkwe uhondo mkewe amemkasirikia na hadai kushika simu zake.

PATANISHO: Mke Wangu Anafaa Atulize Boli Atakuja Kupeana Pasi Kwa Opponent

Alipopigiwa simu bi Dorcas alimhakikishia mumewe atarudi nyumbani baada ya wawili hao kusameheana.

Pata uhondo kamili.

Photo Credits: victor TKO imboto

Read More:

Comments

comments