PATANISHO: Mke wangu alishuku nina uhusiano na jirani yangu

Joseph kutoka Rongai alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe mama Edu akidai kuwa mkewe alitoweka mtoto wao akiwa na mwezi mmoja na akarudi, lakini alirudi akatoweka tena mtoto akiwa na mwaka mmoja.

Nafanya kazi ya taxi baridi (motorbike) na hapo ndipo nilipatana na mke wangu na nilipomuona akiwa na mashida nikamsaidia nikamlipia chumba cha malazi na hapo ndipo uhusiano wetu ulianzia.

Mama Edu alikata mawasiliano yetu pindi tu aliposkia kuwa yuko hewani.

"Sitaki kuskizwa kwa redio mwambie atoke kwa maisha yangu. Imagine alikuwa na uhusiano na jirani wangu wa karibu. Aondoke na azalishe na hao wanawake wengine ambao alikuwa aananiwacha kwa nyumba na kwenda nao." Alisema Felistus kabla ya kukata mawasiliano.

&feature=youtu.be