PATANISHO: Msichana wangu anaenjoy raha ya s*x lakini sio ya maisha

patanisho Gidi na ghost asubuhi
patanisho Gidi na ghost asubuhi
Charity alituma ujumbe na kuomba apatanishwe na mamake ambaye alidai kuwa walikosana miaka kadhaa iliyopita baada yake kuwachana na sponsor .

Kulingana na Charity alianzisha uhusiano na sponsor ambaye alisaidia familia yao na akapendwa zaidi na mamake mzazi.

Basi wawili hao walikosana pindi tu Charity alipojirudia na kuwachana na jamaa huyo na kuanzisha uhusiano na jamaa mwenye umri mdogo, na wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka mitatu sasa.

Soma usimulizi wake Charity.

On 2016 kuna huyu mtu nilikuwa na date but alikuwa mzee wa mtu, so nilikuwa nimemu introduce kwa mum lakini sikufanya hivyo kwa kupenda, na alikuwa anatusaidia sana.

At that time alikuwa 36 nikiwa 22. Vile nilimu introduce kwa mum akaanza kunipenda sana kuliko the wife, akitoka kuniona anaenda anapiga wife yake na nikaona sifanyi vizuri kabisa. Mimi nikajaribu kuwachana naye lakini mathe akani threaten akiniambia nisijaribu.

In the process nikapatana na mtu town na tukaanza ku date. baadae akaniambia ana mtoto kijana na anataka kunioa na nikaanza kuishi naye na hiyo ikakasirisha mathe sana.

Mamangu aliniambia hatawahi nisamehe kwa maisha yake.Tangia tuoane na huyo jamaa sahii ni miaka mitatu na mamangu huamini kuwa wakisii hutesa mabibi zao, lakini mimi ameniweka vizuri kabisa.

Alipopigiwa simu mama Charity, alidai kuwa karibu apoteze maisha yake kwa ajili ya mwanawe.

Mimi karibu nife kwa ajili yako, hata huyo mwenzako alilia uchungu akalazwa hospitalini. Hiyo kitu ilini affect na nikiona kitu kinikasirisha hiyo kitu hurudi lakini nikasema hiyo kitu isifanye niwe laana kwako. Alieleza akidai kuwa jamii mzima ilihuzunishwa na hayo yote.

Yaani huyo mtu alinidharau alipigia watu wetu simu, aliniitia polisi saa nane ya usiku. Ningekua mama muoga nifungue mlango si alikuwa ameleta watu waniue. Aliongeza mama Charity akidai kuwa mwanawe ana raha tu ya sex na haoni raha ya maisha.

Pata uhondo kamili.