PATANISHO: Mume Wangu Hakuwai Kuja hospitalini Wakati Mtoto Alikuwa Amelazwa

Peter kutoka Machakos alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe wa miaka kumi,bi Irene ambaye alitoweka na kurudi kwao, tangia mwezi wa Julai.

"Mtoto wetu alichomeka na baada ya kumpeleka hospitalini akakaribia kupona, na mama mkwe akamuambia mke wangu arudi nyumbani na mtoto ili amuone.

Baada ya kwenda kule mama mkwe akasema kuwa nafaa kwenda kule na wazazi wangu. Tangia wakati ule hata simu zangu hashiki na isitoshe alirudi akabeba watoto wote." Alijieleza Peter mwenye umri wa miaka 32.

"Kama angejua yeye ni baba mtoto mbona hakuja kututembelea?" Aliuliza bi Irene huku akidai kuwa kwa mda wa wiki mbili ambapo mtoto alikuwa amelazwa mumewe hakuwai watembelea hata mavazi ya kubadilisha hawakuwa nayo.

Sasa baada ya yale mamangu aliniambia nisirudi kwake kamwe kwani alikasirishwa na yale." Aliongeza.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be