PATANISHO: Naogopa Nitapigwa Nikienda Nyumbani Kwa Mke Wangu

Leonard kutok Kilgoris aliomba apatanishwe na mama watoto,

Mama watoto ilifika tu mahali beste yangu aliniita mtaani na nilipotoka akadai kuwa nikienda niende kabisa. Kujaribu kumbembeleza akakataa kuniskiza na kwa kuwa nilikuwa naishi kwa nyumba za kukodisha niliamua tu kurudi nyumbani kwangu.

Wawili hao wana watoto wanne.

Alipopigiwa simu mama Bravin alidai kuwa kuna siku alienda nyumbani na kumuachia mumewe watoto na aliporudi alipata bwana Leonard ameondoka na kuacha watoto pekee yao.

"Isitoshe alizima simu kwa siku mbili tatu bila kuniambia chochote." Alisema mama Bravin akidai kuwa alimweleza mumewe apange akawaone wazazi lakini hajawahi kubali.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be