PATANISHO: Ndoa yangu imesumbuliwa na pombe na marafiki

gidi na ghost
gidi na ghost
Vincent alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe mama Dunford ambaye walikosana miezi sita iliyopita.

Alipopigiwa simu jamaa alidai kuwa wawili hao wameishi kwa ndoa ya miaka kumi na ilifika mahali na wawili hao hawakuwa wanaelewana.

"Mahali shida ilitokea, ni yeye anafanya kazi mahali na nikamwambia awe anafanya kazi lakini ikifika wikendi awe anakuja anaishi nami. Yeye lakini hakubali." Alieleza akidai kuwa imefikia mahali na mkewe ameblock nambari yake.

Kulingana na mama Dunford, "Unajua saa zingine hufika mahali unaona una waste tu time yako. Nimevumilia na nimejaribu kuwa wife tunaenda kwa wazazi wake tunaongea na anakubali kubadilika.

So ndio niamue huu mwaka, nilitaka kuzungumza naye lakini hakuwa na time nami. Mwaka umeanza nikashughulika na mtoto pekee yangu na baada ya wiki moja ndio alikuja kujishughulisha na mtoto."Alijitetea mkewe Vincent huku akiongeza kuwa amekuwa akipotoshwa na pombe na marafiki.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be