PATANISHO: Nilikosana na mke wangu baada ya kuchungulia payslip na kuona amechukuwa loan

patanisho20thaug
patanisho20thaug
Bwana Jared alituma SMS yake kwamba angependa kupatanishwa

Alikosea na mke wake kama mara tatu hivi, ya mwisho ilikuwa 2017, ambapo aliangalia payslip yake pale akapata mke wake alikuwa amechukuwa loan na wakakosania pale,

Jared alisimulia Gidi kilichotokea

'Ilikuwa 2013, immediately after the birth of our first child. akoaenda kwao, nikafuata tukaongea na wazazi akarudi after two weeks, then ya pili ikajitokeza kitu one year, tena akarudi kwao na ilibidi nienda huko kwao nim tafutie nyumba nimwanzishie business then after one year akarudi home. sasa tukapata mtoto wa pili. 

By 2016, alipata kazi akaajiriwa na serikali akapelekwa mbali na kwetu that is where the problem began, since due to the small differences we have before aajiriwe so I can't say alicapitalize, but then by bad luck akaanza kuona ile salary alikuwa ana earn ilikuwa mingi. sasa I wasn't as important as before. 

Chenye ilileta shida kubwa ni wazazi wake. Last year niliingia kwa payslip yake nikaona akona kaloan alikuwa amechukuwa. Nikamuuliza tukakosana ile mbaya.

Je inaruhusiwa mpendwa wako kuchingulia payslip yako? Ama inaruhusiwa ikiwa mmeowana?

Na vile nilikuwa nimepanga kupeleka dowry kwao, she stopped me from taking dowry. So from there akaanza kuwa kichwa ngumu.