PATANISHO: Nilikuwa na mpango wa kando lakini tukasameheana na mke wangu

ghost son
ghost son
Kevo alituma ujumbe akidai kuwa angependa kurudiana na mke wake mama blaisy.

Nilitoka kazini siku moja mwezi uliopita na nikapata ashaondoka bila kunifahamisha. Asubuhi yake nilimuacha akiwa amenuna lakini sikujua ataondoka.

Sina mpango wa kando na hata wanadada ninaozungumza nao ni dada zangu. Nashughulika kila kitu nyumbani lakini kuna mda nilikuwa na mpango wa kando na tukasameheana." Alieleza Kevo akidai kuwa bado hajalipa mahari.

Hata hivyo juhudi zetu za kumfikia mama Blaisy hazikufua dafu kwani hakujibu simu zetu.

&feature=youtu.be