patanisho

PATANISHO: Nilikuwa nimeolewa kwa familia iliyokuwa inalea nyoka

Bi Naomi alituma ujumbe akiomba apatanishwe na bwanake bwana John, kabla ajitoe uhai kwa sababu ya uchungu wa moyo.

“Nilikuwa nimeolewa but bwanangu alinioa na watoto watatu lakini sasa niko mja mzito na mtoto wake. Wazazi wangu wanaleta shida kwani yeye ni half cast wa mluhya na masaai na familia yangu nikama hawapendi waluhya.

PATANISHO: Mwanangu hana heshima yeye hunitusi mbele ya mke wake

Last Friday mama alinipigia simu na akaniambia ni pack kila kitu niende nyumbani kwani mama alinitishia. Ilibidi ningoje bwana aondoke na aliposkia alikuja mbio mbio hadi kwetu.

Walizungumza na mama na akamwambia arudi kwanza na tukisuluhisha ataitwa, alipotoka mama alisema hakuna vile nitaolewa na waluhya.” Alieleza akisema kuwa alijaribu kumuelezea bwanake sababu ya kuondoka lakini bwana hakuskia.

Aliongeza kuwa mama alijifanya mzuri wakati bwana alikuja na wakacheka pamoja lakini alipoondoka alisema hakuna vile wataona na sasa yeye ndiye anaonekana mbaya.

PATANISHO: Nataka kujiua baada ya mke wangu kunipata na jirani kitandani

Nilikuwa nimeolewa na familia mbaya ya wachawi ambao walikuwa wameweka hadi nyoka kwa nyumba na ilibidi nitoroke.” Aliongeza Naomi.

Siku moja niliingia kwa chumba cha mama mkwe na torch na nilipata nyoka kubwa ambayo ilikuwa imepewa uji na ilibidi nimechukua nguo na watoto na kutoroka.

“Tulikuwa tumekaa naye within one month akaona my ID akajua mi mluhya na akasema kwao hawakubali kabila langu. Aliniambia shosho yake ni wale watu wa zamani wanafwata mila.” Alieleza John.

Hata hivyo, bi Naomi anakiri kuwa huenda akapotea kwao ili aishi na mpenzi wake John lakini shida ni kuwa wazazi wake watamtafuta.

PATANISHO: Mteja wangu ndiye aliniharibia ndoa

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments