PATANISHO: Nilipatana na msichana Nairobi na hakuniambia ana bwana na watoto watatu

Prisca alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe bwana Josphat, ambaye alimfukuza nyumbani.

"Huyu mzee wangu nilipigiwa simu kuwa yuko kwao na msichana mwingine, sasa kwenda huko akanichapa na akanifukuza huku akiniambia hanitaki na nina mimba yake.

Sasa nataka mnipatanishe kwani licha ya hayo yote kufanyika mimi bado nampenda. Aliniambia kuwa mwanaume anaweza ishi na wake wawili." Alijieleza bi Prisca huku akidai kuwa hataki kuwa na mke mwenza.

Mama mkwe bado anamtambua Prisca kama mtoto wake ambaye amekuwa kwa ndoa ya miaka miwili unusu.

Alipopigiwa simu bwana Josphat, alidai kuwa mkewe alikuwa na mwanaume mwingine na pamoja walikuwa na watoto watatu na kuwa walipatana Naiorbi na hakujua  hayo yote.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be