PATANISHO: Rafiki yangu alininyang'anya mke na kunipiga

Bwana Joseph alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mpenziwe Ruth.

Mimi nilioa mke wangu 2015 na tumeishi huu upande wa Mango Kubwa na siku moja nikasafiri kwenda kuwatembelea wazazi wangu, nikiwa huko rafiki yangu mmoja akanitumbia ujumbe akisema mke wangu amechukuliwa na rafiki yangu.

Kurudi nilipata mke wangu amekombolewa nyumba hapo karibu na kwangu na isitoshe nilipata mavazi ya rafiki yangu kwa bag yangu. Kukasirika nikamchapa na akatoka na watoto. Kidogo kidogo nikamfuata kwenda kumrudisha na nikampata ule jamaa." Alieleza bwana Jose.

Wale watu wakanipiga na nikalazwa kwa ambulance mbele ya mke wangu. Hapo ndio watu waliniambia kuwa heri mimi niliyezaa naye kuliko yule jamaa. Tulikuwa tunafanya kazi na yule jamaa lakini sikuwahi muuliza yale mambo." Alieleza Jose mwenye umri wa miaka 23.

Mkewe ana miaka ishirini baada ya wawili hao kuwa kwa uhusiano wa miaka 16.

Nimuulize huyo kijana ni mjinga sana, alitoa mtoto akiwa form three na akatoroka naye. Nikamtafuta sikumpata na alipotafutwa walipatikana Nairobi. Isitoshe huyo kijana hakusoma! Alieleza mamake Ruth huku akiwa na wingi wa machungu.

Pata uhondo kamili.