patanisho1

PATANISHO: Sitaki mume wangu apate kitambi afanane na tank ya maji

Bwana Collins alituma ujumbe akiomba ndoa yake iokolewe baada ya kukosana na mkewe Shiro.

“Tulikuwa tumekosana naye kidogo shida za kinyumbani tu na mke wangu alikuwa na madharau kidogo na unajua hapo awali nilikuwa nafanya kazi town na kazi ikaishi. Nilikuwa naonelea nikama madharau yalianza kazi ilipoisha.” Alisema Collo.

Jana tulizungumza na akadai atabadilisha tabia na sasa nataka hakikisho kamili kuwa atabadilika.” Aliongeza Collins mwenye miaka 28, huku mkewe akiwa na 25.

‘I found my husband, his cousin and a lady in the bathroom showering,’ – Annitah Raey narrates

Wawili hao wanatarajia mtoto wao wa kwanza.

Shiro alisema kuwa akimpigia kelele sikumaanisha kuwa hampendi na nikumkumbusha kuwa wako pamoja kwa mda mrefu na kumrekebisha.

“At least naona nikikupigia kelele mimi huona unarudi kwa line yenye napenda.” Alieleza Shiro.

Huyu bwanangu alikuwa presentable na sahii ameanza kuweka ma style za mohawk na dredi kwa kichwa, nikamuongelesha.

Sasa nikampa advice nikamwambia asianze kupata vitambi anafanana tank ya maji hata vyenye huwezi tembea naye.” Alieleza Shiro huku akiwachekesha watangazaji.

Pata uhondo kamili.

Photo Credits: victor TKO imboto

Read More:

Comments

comments