PATANISHO: Siwezi olewa na Mwanaume hana makao!

Silas alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mke.

"Mwaka wa 2015 tulikosana na mke wangu na akaondoka na kwenda Nairobi kwani nilikuwa nimejenga nyumba karibu na boma lao. Sasa nikashikwa na uwoga kwani niko karibu na kwao na ameniwacha." Alieleza.

Mama mkwe anapita ananiona nikiosha watoto, nikiosha vyombo sasa hilo jambo likanisumbua sana.

Sasa nikaamua niuze ile shamba ninunue kwingine na nijenge boma lingine na nikafanya hilo na nikaelekea Nairobi kutafuta kibarua. Nairobi tukatafutana na tukaenda tukajenga naye mahala nilinunua.

Kutoka mwezi wa nane mwaka uliopita akaanza kubadilika tena." Aliongeza Simon mwenye umri wa mika 34 akidai anataka tu kujua msimamo wa mkewe.

"Yeye mwenyewe kitambo akuje anajua makosa ni yepi." Alieleza Lydia.

Mimi sikumwacha kwa kutaka, kitu kilinikasirisha ni kuwa niliolewa naye na tukanunua shamba na shida lakini tulipotoka kwao aliona amefika na akaona atafute wanawake. Nilipojaribu kumuongelesha akadai kuwa pia mimi nifanye hayo na nikiuliza ananipiga." Alieleza akidai kuwa mumewe aliuza lile shamba na akala zile fedha.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be