PATANISHO: Tangia mke wangu aende kupiga kura hajawahi rudi nyumbani

Fredrick alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Joyce ambaye aliondoka Agosti mwaka jana.

"Ilikuwa ni wakati wa uchaguzi sasa akanieleza kuwa ameenda kupiga kura na alipofika huko, baada ya mwezi mmoja akaanza kudai atarudi lakini akakawia.

Sasa nikamuuliza shida ni gani lakini hakunieleza shida iliyofanya yeye asije hadi wa leo." Alieleza Fredrick.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miezi mitano.

&feature=youtu.be