PATANISHO: Ujumbe Wa Simu Ndio Ulinikosanisha Na Mke Wangu

John 31, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe bi Caroline mwenye umri wa miaka 27. Isitoshe alidai kuwa mkewe aliondoka nyumbani kwao na tangia mwezi uliopita hajajibu simu zake.

"Wakati tulikuwa nyumbani kabla nipate kazi kuna siku nilichukua simu yake ili nitumie na nikatuma ujumbe. Sasa ujumbe ukatumwa ukisema kuwa yeye anafaa kwenda kwa jamaa fulani na kuwa hafai kuniogopa mimi mumewe.

Hapo mzozo ukaanza na alipoanza kunitusi nikamzaba kofi." Alijieleza bwana John ambaye wamekuwa kwa ndoa ya mwaka mmoja.

Caroline alikata mawasiliano yetu pindi tu alipopashwa habari.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be