PATANISHO: Watu huona nadharau mamangu lakini sina ubaya asema Millicent

Je ni vyema ama si vyema kwa mtoto kujaribu kuleta pamoja wazazi wake ikiwa wamekosana?

Katika kipindi cha patanisho leo, Bwana Gidi ali

Millicent aliomba kupatanishwa na mamake mzazi Caroline baada ya kukosana miaka sita iliyopita akiwa juhudi za kumshawishi arudi nyumbani kwa babake.

Alipopigiwa simu na Gidi, bi Millicent alimuarifu kwamba mamake mzazi aliweza kutoroka nyumbani mwaka 2012, na kutoka wakti huo, wawili hao hawajaongea.

Alikosana na baba wa Milicent wakati alikuwa class six. Millicent alisoma hadi class 8 ndio akazaa watoto wawili.

'Kutoka kuzaa hali imenilemea, na huko kuli nilienda wananitusi wananitukana, walikuwa wanajua venye niko wananitukana wanaongea vibaya mimi nikaona imenishinda madharau nafanyiwa na kila mtu.

Kulikuwa sasa babu wangu, babu wa kuzaa mama, aliaga mama akakuja matanga, kukuja matanga ndio nilikutanan nayeye, venye alirudi Nairobi alisema baada ya kuteseka nikuje niishi na yeye.

Kukuja nikaona maisha ambaye allikuwa anaishi. Haikunifurahisha hata kidogo ilikuwa maisha mbaya sasa nikaona aie afadhali huko nyumbani.

Nikamwambia hii maisha si mzuri afadhali sasa ukae nyumbani. Sasa hapo ndio tulianza kukosana sasa ikawa kila mahali hatuwezi ongea na yeye tuelewane.

Kila mtu anaonnanga mimi ni mbaya sijui nadharau mamangu lakini sikuwa na ubaya wowote, but ilikuwa tuu .'

Kulingana na mazungumzo haya Millicent alikosana na mamakae baada ya kumshauri kurudiana na babake ushago, lakini hilo swala halikumfurahisha mamake, wakatengana.

Je Gidi aliweza kurejesha uhusiano? Skiza kanda upate uhondo.

Mama Caroline anasema Millicent angetumia njia nzuri baadal aya kumrukia na matusi usiku.