Pesa sabuni ya roho! Tazama nyumba mpya ya Zari Hassan

zari
zari

Wiki zilizopita, Zari aliamua kuhama kwa nyumba iliyokuwa yake na mwanamziki Diamond Platnumz na kuenda kukodisha yake.

Kulingana na vyombo vya habari, nyumba ya binti huyu ni ya kukodisha, maanake hajanunua nyumba ile lakini analipa kodi ya nyumba ile kila mwezi.

Mwanamke huyu ambaye anadaiwa kuwa na mali iliyo gharimu karibu milioni 30 alikodisha nyumba yake mpya nzuri sana na kufanya marekebisho mbalimbali ili aitengeneza nyumba yake kulingana na mapendekezo yake.

Yashibishe macho yako na picha za binti huyu!