(+Picha ) Bintiye Akothee, Vesha Okello avujisha picha ya babake

Screenshot_from_2019_11_11_11_01_04__1573459482_30028
Screenshot_from_2019_11_11_11_01_04__1573459482_30028
Bintiye staa wa kike Akothee amefichua babake aliyemzaa baada ya mamake kuficha kwa muda mrefu.

Katika mtandao wa insta, Vesha Okello amechapisha picha na babake.

Ubuyu na story zinazomhusu mmewe wa kwanza zimebanwa na ni nadra kuzipata katika mitandao kijamii.

https://www.instagram.com/p/B4kZlE7FSwy/

Hii ndio picha ya babake.

https://www.instagram.com/p/B4o_uNrFCZs/

Picha na ambalo Vesha aliposti insta linaonyesha mapenzi makubwa kwa babake mzazi.

Ila je? Mbona aweke usiri wa baba wa kwanza wa binti wake?

https://www.instagram.com/p/B4kZlE7FSwy/

Wapenzi wengi hufanya hivo labda watoto wasije wakafahamu maswala hayo.

Akothee kwa sasa anajivunia kuwa mama wa watoto watano.