(+Picha) Jacque Maribe, Orodha ya watangazaji wanaokabiliwa na kesi za mauaji

Kuna baadhi ya sura tunazozitazama katika runinga zetu ambazo mbeleni au sasa zimehusishwa na kesi za mauaji.

Mastaa hawa kwa njia moja ama nyingine wamehusishwa moja kwa moja ama kuwa mashahidi katika kesi hizo.

Kuna baadhi yao wamefungwa jela,wengine kesi zinaendelea wanasubiri uamuzi.

Soma hadithi nyingine;

1. Esther Arunga
   
Mwanadada huyu amekuwa katika vyombo vya habari baada ya kukiri kuwa alidanganya kumsetiri bwanake kupelekea kifo cha mtoto wake wa miaka 3.
Mtoto wa Esther alifariki kutokana na jeraha la kuumizwa na silaha butu Juni 2014.
2. Louis Otieno
Aliyekuwa ripota wa runinga ya NTV Louis Otieno aliteka vichwa vya habari baada ya tuhuma za mauaji Careen Chepchumba.

4. Moses Dola

Moses alifungwa miaka 10 kwa mashtaka ya kuua mkewe Wambui Kabiru nyumbani kwao Umoja Mei 1, 2011.

Soma hadithi nyingine;

mzozo ulitokota kipindi na ambapo Dola alikuwa amefungulia sauti ya juu ya muziki na ingeamsha mtoto mchanga hivyo ugomvi ukaanza.

4. Jacque Maribe

Kesi ya mwanadada huyu inaendelea katika mahakama.

Maribe alikamatwa na mpenzi wake Joseph Irungu kuhusiana na kifo cha mfanyabiashara Monicah Kimani.