Screenshot_from_2019_12_02_08_24_02__1575296984_58762

(+ Picha ) Maria, sura ya muigizaji anayekosesha wengi usingizi Citizen TV

Maria ni kipindi na ambacho kinavutia wengi zaidi kinachoruka kupitia runinga ya Citizen.

Msururu wa vipindi fupi vya kipindi hiki huwa vinapeperushwa kila siku za wiki kutoka Jumatatu hadi Ijuma inapogonga saa moja unsu jioni.

Naogopa ni wimbo wangu,Nitamfunga jela, Rayvanny afoka

Waigizaji katika kipindi hiki ni kama Yasmin Said almaarufu kama Maria ambaye ni mrembo kweli.

Maria huigiza kama mtu mpole na ambaye ana matamanio ya kwenda mbali kimaisha.

Huwa pia anaigiza kama limbukeni ambaye hajasoma sana.

Actress Maria

Msururu wa kipindi hiki ulianza kipindi na ambapo alikuwa akiishi katika maeneo ya mabanda viunga vya jiji la Nairobi na baadaye akahamia katika mijengo ya kitajiri.

Dakika 5 tu niage dunia, Msanii wa nyimbo za injili Roz Haki afunguka

Brian Ogana almaarufu kama Luwi huigiza kama mtoto aliyekulia katika mazingira ya kitajiri na huwa anamtaka amuoe.

Tazama picha za Maria:

Actress Maria

Actress Maria

Actress Maria

Actress Maria

Actress Maria

Actress Maria

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments