(+ Picha) Tukio la ajali ya Otile Brown,anusurika kichapo cha umati

Staa wa mkubwa nchini Otile Brown amehusika katika ajali mbaya hapo jana.

Otile alikuwa anaendesha gari lake aina ya Mercedes Benz alipohusika katika ajali hiyo.

 Deejay maarufu Daddy Ramosh alikuwa amesafiria pikipiki iliyogongwa na Otile.

Ramosh alipata majeraha madogomadogo huku mwendeshaji pikipiki akipata jeraha kubwa.

Baadaye alikimbizwa katika hospitali ya Kenyatta kupata usaidizi wa dharura.

Shahidi aliyekuwa kando alisema,

"Otile Brown ana madharau kubwa sana. Aligonga pikipiki hiyo kwa kusudio halafu anongea ujinga. Alikuwa apate kichapo cha umati (wanabodaboda). Anajihisi ni kama anaimiliki hii nchi. Ustaa umemwingia sana."

"Hatimaye Deejay Daddy Ramosh ametoka hospitalini..." Alisimulia jamaa aliyeshuhudia kisa.

https://www.instagram.com/p/B5DXNv_nK3n/

 Tazama picha za tukio la ajali: