Picha ya siku: Familia ya Lulu Hassan na Rashid yapendeza wengi

familia ya lulu hassan na rashid abdalla
familia ya lulu hassan na rashid abdalla
Sio mara nyingi wanandoa na wanahabari Lulu Hassan na Rashid Abdalla huchapisha picha ya familia yao nzima katika mtandao wa kijamii.

Mara kwa mara wao huchapisha picha za wanao wakti tu wanaposherehekea siku zao za kuzaliwa au labda wakiwa katika pilkapilka za wikendi. Hata hivyo, hii leo Lulu Hassan alichapisha picha ya wanao wote watatu, ambao ni vijana watanashati.

Hassan aliandika,

Good Morning from the Mwajita's😘😘😘😘😘

Picha hiyo iliwafurahisha mashabiki wengi huku wakisifia urembo wa familia nzima.

Soma baadhi ya ujumbe wao;

Kate Actress: Beautiful family 🙏🏿

David: Mko sawa sana, karibuni arusha.

Mau: My people😘😘😘😘😘😘😘 I miss you

Cindy Milian: Adorable family

Keah: Morning 2, u guys are looking gr8 🔥

JepKor: Mnafanana na first born,lovely family

Tazama picha hiyo.