Picha ya siku: Kindiki, Kihika na Murkomen wajivinjari pamoja

unnamed (2)
unnamed (2)
Baada ya Murkomen, Kihika na Kithure Kindiki kutimuliwa kama viongozi wa Jubilee katika bunge la seneti siku kadhaa zilizopita, watatu hao pamoja na marafiki zao walio egemea upande wa William Ruto, waliungana na kujivinjari pamoja.

Jumamosi, baadhi yao walichapisha picha zao wakiwa katika Jumba la mmoja wao huku wakiwa na wingi wa tabasamu licha ya masaibu ambayo wamekuwa wakikumbana nayo.

Tazama picha ifuatazo: