Picha za wanasiasa zinazoonyesha mwonekano wao wa zamani kabla umaarufu

Mwonekano wa mtu ubadilika mara anapokua. Wakati mwingine mtu anaweza akaongezeka uzani wa mwili na kuwa mnene. Baadhi ya viongozi serikalini na wanasiasa wakubwa nchini hawajaachwa nyuma katika swala kama hili. Tunakusogezea hapa baadhi yao:

Soma hadithi nyingine:

1.Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta ni mwanasiasa na mfanyabiashara mkubwa. Ni Rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya

2. William Samoei Arap Ruto

William Samoei Arap Ruto ni mwanasiasa na naibu wa Rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya

Soma hadithi nyingine:

3. Raila Amolo Odinga

Raila Amolo Odinga ni mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa chama cha ODM

4.Stephen Kalonzo Musyoka

Stephen Kalonzo Musyoka ni mwanasiasa wa upinzani nchini.

5. Gideon Mbuvi Kioko

Gideon Mbuvi Kioko almaarufu kama Mike Sonko ni mwanasiasa wa Kenya na gavana wa kaunti ya Nairobi.