Picha zinazo onesha rais Moi alikuwa shabiki sugu wa Kadanda

Hayati mzee Moi alijulikana na kupendwa na mashabaki wengi wa kadanda kwani aliwapa kipau mbele wachezaji waliowakilisha taifa hili.

Ili kumkumbuka, mashabiki wa kadanda pamoja na timu kadhaa za ligi kuu ya KPL wamechapisha picha zake Moi akiwa anajumuika na wachezaji katika enzi za utawala wake.

Tazama picha zifuatazo;

We remember Mzee Moi for the role he played in Kenyan football and more specifically for standing with Gor Mahia during continental matches in the 80s. Our heartfelt condolences! [Photo / Gor Mahia captain receiving Mandela Cup from Moi in 1987]