‘I pity you!’ Terence Creative awaambia wakosoaji

Mcheshi Terence Creative amekuwa akipokea ukosoaji mwingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mwili wake, si mara ya kwanza au ya pili bali mara nyingi mcheshi huyo amekabiliana na ukosoaji huo.

Alizungumzia haya kwenye uzinduzi wa Gire Limited, mcheshi huyo anafahaika sana wenye mitandao ya kijamii kwa ucheshi wake.

“I’M A VERY PROUD FAT GUY. YOU SEE, WE HAVE A LOT OF UNHEALTHY PEOPLE BUT LIKE WHO I AM, I’M VERY HEALTHY, AND CUTE AND ALL MY ORGANS ARE FUNCTIONING

I JUST PITY PEOPLE WHO BODY SHAME OTHERS. BECAUSE IF YOU LOOK AT IT, REALLY, THEY ARE THE ONES WITH THE PROBLEM. NOT ME. I’M GOOD WITH WHO I AM. I’M HAPPY WITH MY STRUGGLE, NINAPAMBANA NA NYAMA ZANGU. I’M OKAY.”

Alizidi na maelezo yake na kuwaambia mashabiki wake hawapaswi kumcheka mtu yeyote wala kumkosoa kwa ajili ya mwili wake kwa maana mwanadamu hawezi kujiumba.

"Unapocheka wengine na kuwakosoa jambo hilo litakutendekea siku moja katika maisha yako,sitaki kusema kuwa nimezoea, na sina shida na matamshi ambayo nimezzoea kuona kwenye mitandao ya kijamii

Mngeona picha zangu za kitambo, na kuulizwa kwa hakika ningesema kwa nahitaji kuwa vile nilivyo sasa." Alizungumza Terence.