Muhtasari
- Ukabila haufai kuwa kigezo katika kaumua utakayemuoa au kuolewa naye
- Kuna dhana potovu kwamba watu wasio wa kabila moja hawawezi kufanikisha ndoa
- Tofauti za tamaduni na mila zinafaa kuchukuliwa kama uthabiti
Katika Podi ya leo,tunazama kujadili mbona wakati mwingine watu wanajibana katika ufinyu wa ukabila au dini au tabaka wakati wa kumchangua mtu wa kuanza naye maisha kama mke na mume .
#PodiyaYusufJuma#YusufJuma Shirikiana,Wasiliana,Ungana au tangamana na Yusuf Juma Facebook:Yusuf Juma/Yusuf Juma-Kenya Instagram:@yusufjumaofficial Twitter:@YusufJumaKenya Email:yusufjuma86@gmail.com Youtube:Yusuf Juma-Kenya