Pole sana Diamond: Soma sababu Diamond hatakuwa akimuona mwanawe Tanasha kwenye mitandao ya Instagram

Diamond 'Baby Mama' Tanasha Donna amebadilisha ukurasa wa mtandao wa kijaamii wa Instagram wa mwanawe na kuufanya kuwa ukurasa wa hisani yaani kwa kimombo 'charity page'.

Amefanya kitendo hicho miezi miwili baada ya kufuta picha zote za Naseeb Junior katika mtandao huo na kumpa Diamond, dadake na mama yake block ili wasijaribu kuingia katika ukurasa huo.

Kupitia ujumbe aliouandika Tanasha alisema kuwa atakuwa akiposti picha ambazo atakuwa amewasaidia watu katika mtandao huo.

"I HAVE ALWAYS BELIEVED IN GIVING BACK & I FEEL BLESSED TO BE SURROUNDED BY GOOD PEOPLE & HAVE THE SMALL TEAM THAT I HAVE WHO BELIEVE IN THE SAME. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 WE ARE NOT PERFECT NOR STINKING RICH, BUT THE LITTLE WE CAN, WE GIVE BACK. IT STARTS SMALL. BY GIVING BACK TO YOUR FAMILY, FRIENDS, MAMA MBOGA OR EVEN YOUR ASKARI DOWNSTAIRS, TO HELPING CHILDREN OR PEOPLE WITH SPECIAL NEEDS. ITS THE LITTLE THINGS THAT MATTER. HOWEVER SMALL, OR BIG, ITS THE GESTURE THAT COUNTS & I BELIEVE MORE BLESSINGS BLOSSOM FROM THESE SMALL KIND ACTS.

ON THIS PAGE, I WILL BE POSTING THE DIFFERENT HOMES THAT MY TEAM & I WILL BE VISITING, WE WILL GO ROUND VARIOUS CHILDRENS HOMES, PEOPLE WITH SPECIAL NEEDS, ORGANIZATIONS & SHARE THEIR CONTACT NUMBERS AS WELL SO IF INTERESTED, YOU CAN ALSO HELP THEM." Ujumbe Ulisoma.

Kulingana na nduru za kuaminika, Tanasha ameamua kufanya jambo hilo kwa maana mwanawe amekuwa akikosolewa kila mara katika mitandao.

Baada ya kufanya hayo, mashabiki wake hawakukimya bali walitaka majibu kwa nini amebadilisha ukurasa huo wa Naseeb Junior.

Awali Tanasha akiwa katika mahojiano alisema kuwa waliachana na Diamond kwa maana alikuwa mdanganyifu ilhali msanii huyo alikataa madai hayo.

"I COULD FIGHT ALL THOSE PEOPLE BUT I REALISED I COULDN’T FIGHT ALONE. MY MOM HAS SHOWN ME THAT IF IT DOESN’T WORK, YOU FIGHT. IF IT IS TOO MANY BACK AND FORTH OR WHEN YOU REACH A DEAD-END THAT IS WHEN YOU BOUNCE. I FOUGHT IT ALL. BUT WHEN IT CAME TO INFIDELITY I REALISED I WAS FIGHTING A WAR ON MY OWN." Alsema.