mary.kilobi

Pole sana: Mkewe Francis Atwoli, Mary Kilobi ampoteza nduguye

Mkewe katibu mkuu wa chama cha wafanyikazi nchini, COTU, Francis Atwoli, Mary Kilobi amempoteza nduguye.

Nduguye Mary, Emmanuel Weyusia aliuliwa kwa kupigwa risasi na wezi jana usiku mtaani, Thika.

Mwanahabari huyo wa KTN news alichapisha habari hizo za kuhuzunisha katika mtandao wake wa kijamii.

PATANISHO: Ndugu ya mume wangu alirushia mtoto wetu mapepo

9TH OCTOBER IT IS! HAKI I CAN’T BELIEVE THIS HOT BROTHER OF MINE EMMANUEL WEYUSIA HAS GONE TO BE WITH THE LORD. MARSH WE’VE LOST YOU TO SOME CRUEL PEOPLE WHO SHOT YOU. MARSH, YOU WILL FOREVER BE MY BIG BROTHER OUR VERY PROTECTIVE BRO, MY MAMAS 1ST BORN. HOW DO I SAY RIP. GOD, IT MAY NOT BE WELL WITH ME NOW BECAUSE OF HOW I FEEL BUT I STILL HOLD ONTO YOU FOR COMFORT. EVEN THOUGH YOU HAVE ALLOWED THIS PAIN TO COME MY WAY, YOU ARE STILL MY GOD.

Zifuatazo ni jumbe za risala za rambirambi kutoka kwa wakenya na mashabiki wake Mary Kilobi.

Fredrick Shitubi Just woken up to exceedingly shocking news that a dear friend, Emmanuel Weyusia (left), was gunned down by thugs last night. Death, where is thy sting? Such a sad morning. Rest in peace bro.

Mudavadi amshutumu Ruto kwa kubadilisha makaazi yake kuwa makao ya kampeini

Hon Wafula Okumu Emmanuel Weyusia, why you my long-time friend, friend!? and why now!? Why!? I just don’t know how to say RIP! I still don’t believe! It must be a lie!

Wafula Paul How can God let this happen. The killers of Emmanuel Weyusia do not know who they have taken from us. What a dark day. How shocking. What a man. What a cruel world. How do you mourn such a good man?

Lyndah Tabani Aki pole tu sana family anr friends, it is God’s plan. May he rest in peace. Be strong pls.

Etyang Frank This is so shocking. Unimaginable that Emmanuel ‘s life has been ended so fast. REST IN PEACE MY BROTHER. SING WITH THE ANGELS. Mariah Kilobi Atwoli take heart my dear. It is tough.

Sisi kama Radiojambo tunaipa familia ya Mary Kilobi pole na kuwaombea mola.

Margaret Kenyatta apongezwa kwa juhudi za kupambana na ukimwi

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments