Polisi wawili wazuiliwa kwa mauaji ya mvulana wa miaka,17, Kilifi

1893446
1893446
Polisi wawili waliotuhumiwa kwa kumpiga risasi mvulana wa miaka 17 wameweza kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Malindi.

Polisi hao waliwekwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya jaji wa mahakama ya juu ya malindi Weldon Korir kusema Simeon Oyoo Oyodo na Amos Kiptoo Kipsang'waweze kupitia magonjwa ya akili kabla ya kushtakiwa na tuhuma za mauaji, Februari 14, 2019.

Wawili hao wameshtakiwa kwa mauaji ya Katana Kazungu mwezi wa sita 26 mwaka jana.

"Nimekubaliana na mashtaka kuwa dhamana iwekwe mapumzukoni, wanafaa kuwekwa rumande wakingoja tathmini ya akili kabla ya kesi," Alisema Korir.

Polisi hao watapelekwa katika hospitali ya wilaya ya Malindi, wakili wa watuhumiwa hao Matete Katoto alisema kuwa watuhumiwa hao wanafanya inavyotakikana kwa hivyo wanapaswa kuachiliwa kwa dhamana.

"Hawakungoja ili waje kushikwa na polisi bali walijileta wenyewe kwa mahakama, wameonyesha kuwa wanaweza kuja mahakamani iwapo kesi yao iko ama endapo wataitwa katika mahakama," Alieleza Katoto.

Ombi la wakili wa watuhumiwa hao lilikataliwa. Waislamu wa haki za binadame (Muslim for Human Right) na habari na amali (information action), walisema kuwa wameweza kumulika kesi dhidi ya polisi.

Vikundi hivyo viwili waliweza kuwa na kumbukumbu vile kisa hichi kilifanyika.

Ushahidi wao uliweza kuwasaidia polisi wa kujitegemea na kusimamia mamlaka kumshawishi mkurugenzi wa mashtaka kuwa ana maswali ya kujibu.

Alhamisi Muhuri ataweza fadhiri kama chama chenye nia, wataweza kuwaeleza kwa ufupi familia ya kazungu.

Januari mahakama ili kuwa imepeana ruhusa kwa kushikwa kwa Ayodo na Kipsang', kulingana na Muhuri Katana aliweza kupigwa risasi kwa mgongo.

Katana na wengine sita walikuwa wakisukuma lori ambalo lilikuwa limekwama kwa matope katika kijiji cha Tsangatsini, Kaloleni.

Lori hilo lilikuwa linasafirisha mawe kutoka machimbo ulioko karibu na kijiji hicho, polisi walidai kuwa waliarifiwa kuwa lori hilo lilikuwa limeibiwa.

Polisi hao waliweza kujitayarisha ili kuwapiga risasi ambapo waliweza kumpiga Katana na kufariki na risasi zile ziliobakia wakapiga juu kwenye mawingu ama hewani.

Nani ataweza kupata haki kati ya familia ya Katana na polisi hao wawili?

Hao sita hakuweza kujua jkatana kuwa amepigwa risasi,Katana alikuwa mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi ya Ndatani.

Tukio hilo lilifanyika saa 6 usiku, huku upasuaji ukifichua kuwa mvulana huyo aliweza kupigwa risasi kwa mgongo, awali polisi hao waliweza kukana madai hayo na kujaribu kuficha kisa hicho.