Power couples! Picha za watu mashuhuri wanaokuwa na uhusiano wa kutamanika

1.Vera Sidika na Jimmy Chansa

Vera Sidika amekuwa kwenye vichwa vya vyombo vya kijamii alipoonyesha mpenziwe Jimmy Chansa.

Wawili hawa wamekuwa wakivifanya vitu vyao pamoja.

2.Kate Actress na Philip Karanja

Catherine na Philip walioana mwaka wa 2017.

Cathrine ana mtoto mmoja.

3.Dj Moh na Size 8

Dj Moh na Size 8 walianza uhusiano wao wa kimapenzi hapo awali na kisha wakafunga ndoa hapo baadaye.

Wawili hao wamebarikiwa na mtoto mmoja wanaompenda sana.