Radio Break-Up?Nadia Mukami afichua mbona aliachana na Arrow Bwoy

Nadia Mukami  na Arrow Bwoy  waliripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi baada ya kuutoa wimbo wa Radio Love ambao ulitesa masafa sana. wakati huo baadhi ya  mashabiki walifikiri wasanii hao  walizidisha chumvi kuhusu  mapenzi yao  ili kupata mafanikio kimuziki .

Baadaye katika mahojiano na kituo kimoja cha Radio ,Nadia alikiri kwamba walifanya uhusiano wa mwaka mmoja  lakini mambo hayakwenda ilivypangwa

I dated Arrow Bwoy for a year. But things didn’t work out.

Akizunguma kuhusu uhusiano wake na Msauti ,Nadia alisema  wao ni marafiki tu

I have known Masauti for long. We have hustled together since and he is the one who linked me up with Marioo. He is my brother

Mukami kwa  sasa ameekwa vichwa vya muziki kwa wimbo wake ‘Jipe’ na msanii wa Tanzania Marioo. Utazame wimbo huo.