Kabla ya kifo chake, gwiji wa mpira wa vikapu, Kobe Bryant alisifiwa sana kwa uhusiano wake mwema na mwanawe wa kike, Gigi Bryant. Gigi alikuwa akijulikana kama "Daddy's girl"
Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, pia anajulikana kwa uhusiano wake na wanawe wawili wa kike Winnie Odinga na Rosemary Odinga. Mara nyingi, Raila huonekana na mmoja wa wanawe wa kike katika mikutano ya humu nchini na ya kimataifa.
Mtangazaji wet, Gidi ni baba wa mtoto mmoja wa kike, Marie-Rose Hera Ogidi na upendo wao hauwezi pimika.
Leo tunaangazia ma celeb ambao wanajulikana kwa uhusiano wao mwema na wanao wa kike;
Marehemu Kobe Bryant na Gigi Bryant
Raila Odinga (Winnie na Rosemary)
Gidi na Marie-Rose
Jay Z na Blue Ivy
Gideon Moi na Lulu
Barack Obama na Sasha na Malia