Picha ya Ahmad

Rais Caf Ahmad akamatwa nchini Ufaransa

  Shirikisho la soka duniani Fifa limethibitisha kwamba  rais wa shirikisho la sofa barani afrika  Ahmad Ahmad  amezuiliwa na maamlaka za ufaransa ili kuhojiwa .

Gianni Infantino achaguliwa tena kuliongoza shirikisho la FIFA

Taarifa kutoka fifa imesema   kuzuiliwa kwake ni kuhusiana na  madai  yanayohusiana na kazi yake katika caf .

Imeingeza kwamba  ‘ Fifa  haina maelezo kuhusu  uchunguzi huo  na hivyo basi haiwezi kutoa  msimamo  au matamshi yoyote kuhusu jambo fulani .

“Fifa  inataka maamlaka za ufaransa kutoa maelezo yanayoweza  kuwa muhimu kwa uchunguzi  unaofanyika ndani ya  kamati yake ya maadili .

Kauli ya siku 6th June 2019

 

Photo Credits: internet

Read More:

Comments

comments